Uzinduzi wa Klabu ya Mazingira
Tarehe 3 Juni 2025, wanafunzi wa kidato cha nne walizindua klabu ya mazingira kwa kushirikiana na walimu na wazazi.
Karibu kwenye tovuti ya wanafunzi!
Tarehe 3 Juni 2025, wanafunzi wa kidato cha nne walizindua klabu ya mazingira kwa kushirikiana na walimu na wazazi.
Shule yetu ilishiriki mashindano ya riadha yaliyofanyika kwenye uwanja wa kwemsambu . Tunawapongeza wanafunzi kwa kushinda medali 3!