Kuhusu Mimi
Ninapenda kujifunza mambo mapya, hasa katika teknolojia, uandishi na uongozi. Hii ni tovuti yangu ya kuonyesha kazi zangu.
Miradi Yangu
1. Blog ya Shule
Nimesaidia kuunda blog ya shule kutumia HTML, CSS na java script.
Tazama Mradi
2. club ya Ict
Niliongoza uzinduzi wa klabu ICT na kuandika taarifa rasmi ya tukio.
Ujuzi Wangu
- HTML ,CSS , JAVA SCRIPT ,PHP & C+
- Uandishi wa Habari
- Mwalimu wa physics
- Kutengeneza Tovuti
Mawasiliano
Email: blasimark6@gmail.com
contact:+255658126174
GitHub/Neocities: blasi.neocities.org