kidato cha nne
Hii ni kurasa rasmi ya kidato cha nne . Taarifa za mitihani na maandalizi ya NECTA zitapatikana hapa.
Matangazo
- 📝 Mitihani ya majaribio (mock) inaanza tarehe 22/06/2025
- 📣 Kikao cha maandalizi ya NECTA kitatangazwa hivi karibuni
- 🧪 Semina ya Sayansi kwa vitendo itafanyika wiki ijayo
Vipakuliwa (Downloads)